Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi kushoto na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe. Issa Haji Gafu wakitia saini Hati za makubaliano ya kuondoa Hoja 5 za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi ikiwemo ushirikishwaji wa SMZ kwenye masuala ya Kimataifa na Kikanda, Hafla iliyoshudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhun Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi iliyofanyika Oktoba 17,2020 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dar es salaam.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO