Makamu wa Rais wa Marekani, Mhe. Kamala Harris pamoja na mumewe (2nd Gentlemen), Bw. Doug Emhoff wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1 kwa ziara ya siku tatu na kupokelewa na Makamu wa Rais, Mhe. Dkt Philip Mpango tarehe 30 Machi 2023.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO