Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha nne kutoka Tabora- Isaka (165km) katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Julai, 2022. (Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TRC Masanja Kadogosa akisaini Mkataba pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Yapi Merkez Bw. Aslan Uzun)
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO