Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
akitambulisha ujumbe wa Tanzania alioongozana nao kwa mwenyeji wake
Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo
Jumapili Aprili 11, 2021
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO