Idara ya Habari-MAELEZO
Idara ya Habari-MAELEZO

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Idara ya Habari-MAELEZO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Idara ya Habari
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Watumishi wa Idara
    • Muundo wa Idara
    • Vitengo
  • Huduma zetu
    • Ukumbi wa Mikutano
    • Taratibu za leseni
    • Kitambulisho cha Mwanahabari
    • Tozo za Huduma
  • Machapisho
    • Sheria
    • Kanuni
    • Fomu
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha za Mnato
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoanza
    • Miradi Ijayo
  • Dawati la Matangazo

Serikali Yaanza Kuwalipa Fedha Wakulima wa Korosho Waliohakikiwa

Posted on: November 16th, 2018

Na Judith Mhina –Maelezo

Waziri wa Kilimo Japhet Asunga amesema zoezi la awali la uhakiki  wa Wakulima , maghala na Vyama vya Msingi vya Ushirika vilivyopokea  korosho umekamilika na kuingiziwa fedha zao benki..

Waziri Asunga amethibitisha hilo alipoongea na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara mapema jioni hii.

Waziri Asunga amesema “Mpaka leo kuna jumla ya Vyama vya Msingi vya Ushirika 35 ambvyo vimekithi vigezo  vya kulipwa. Hivyo zoezi linaloendelea katika National Microfinance Bank – NMB na  kuingiza majina ya wakulima na wale wasio na account kufunguliwa na kuingize fedha  kulingana na koroshoalizowasilisha ghalani.

 Vyama hivyo  vya Msingi  kutoka  Tandahimba Newala Cooperative Union 10 – TAMECU, Tunduru Agricaltural Marketing Cooperative Union  6, TAMCU, Masasi, Mtwara na Nanyamba  Cooperative Union – MAMCU 15,  na Lindi  - Mwambao Cooperative Union 4  ambayo inashirikisha Lindi Mji na Lindi Vijijini.

Aidha Waziri Asunga amefafanua kuwa fedha hizo zimeingizwa NMB na Tanzania Agricultural Development Bank – TADB kama agizo lilivyosema . Pia, wakulima watambue kuwa korosho zote zilizopo ghalani ni za msimu huu na zina daraja la kwanza hivyo zinastahilini kulipwa kwa kiwango alichotamka Rais Magufuli.

Tanzania ina jumla ya viwanda 23 Tanzania nzima ambapo vikifanya kazi vyote kwa ufanisi vinauwezo wa kubangua korosho 120,000  na kuleta ajira kwa Watanzania takriban. Hata hivyo kutokana na ukosefu wa malighafi katika viwanda vya ndani na mitaji midogo ya wawekezaji wetu korosho inayobanguliwa kwa sasa ni elfu 29 tu.Ameongeza Waziri Asunga.

Katika kuonyesha umuhimu wa zao la korosho kwa Watanzania Waziri Asongwa alisema kuwa umla ya Kaya laki 750 zinalima zao la korosho na kuna jumla ya vyama vya Ushirika vya korosho 617, ambapo 503 vipo Mtwara lindi na Ruvuma, 98 vipo Mkoa wa Pwani na Tanga na 14.   

Akionya tabia iliyojitokeza kwa baadhi ya wakulima wasio waaminifu Waziri Asungwa amesema kuwa wapo wakulima wanaoleta korosho chafu katika maghala ambazo zimeshapoteza ubora wake na zinaonekana ni za mwaka jana na kuwaomba waache mara moja .

Pia kuna wakulima wasio waaminifu wanaoleta korosho kutoka nchi ya jirani ya Msumbiji ambapo wameona Tanzania ina bei nzuri ya korosho na kuwaagiza waache mara moja kwa sababu sheria za kimataifa za biashara haziruhusu.

Alipoulizwa kuhusu hatua zilizochukuliwa kwa korosho magunia 152 yaliyokamatwa yakitokea Msumbiji Waziri alisema magunia yote yametaifishwa.Pia, akawaomba wakulima watoe ushirikiano katika kutoa taarifa zozote zenye lengo la kuharibu zoezi zima la ununuzi wa korosho.

Mwisho Waziri aklitoa wito kwa wakulia kuwa waangalifu na fedha wanazoingiziwa wazichukue kwa mkupuo maana italeta madhara ya usalama wao na pia wajenge tabia ya kuweka akiba na kutumia kidogo kidogo wakikumbuka kuna madeni wanadaiwa na pia kuna msimu wa kilimo ujao unahitaji fedha kwa ajili ya kuzalisha korosho bora na nyingi zaidi kuliko mwak ahuu.

Katika kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ya kuacha asilimia kadhaa ya korosho hapa nchini kwa ajili ya kuhamasisha ubanguaji na kuinua ajira kwa wananchi  amba gNA  tamecu    l katika maghala ya Ushirika

Matangazo

  • Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari May 03, 2023
  • Baraza la Mawaziri April 14, 2023
  • Uzinduzi wa ‘The Royal Tour’ katika Ukumbi wa Guggenheim uliopo Manhattan, Jijini New York nchini Marekani April 19, 2022
  • Launch of 2019 SADC Media Awards February 13, 2019
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisaini nakala 3 za Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu kwa mujibu wa kifungu cha 17 cha Sheria ya urekebu wa sheria, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 23 Aprili, 2025.

    April 23, 2025
  • The Global Goalkeepers Award

    February 04, 2025
  • Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika

    January 28, 2025
  • Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala Nishati

    January 28, 2025
  • Angalia zote

Wasiliana Nasi

Makole, Uhindini

S.L.P: S.L.P 677, Dodoma

Simu: +255-22-2771005

Nukushi:

Email: maelezo@mawasiliano.go.tz

Simu ya Kiganjani:

Kiunganishi cha Haraka

  • Fomu ya Kitambulisho cha Mwanahabari
  • Kanuni za Sheria za Huduma za Habari za Mwaka 2017
  • Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016
  • Fomu ya Kitambulisho cha Mwanahabari aliyopo nje ya Tanzania
  • Maelezo Podcasts (Apple Podcasts)
  • Maelezo Podcasts (Spotify)
  • Maelezo Podcasts (Amazon Music)
  • Tanzania 'THE ROYAL TOUR'
  • Tanzania 'The Royal Tour' AMAZON
  • HOTUBA YA WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI MHESHIMIWA NAPE MOSES NNAUYE (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23
  • Baraza la Mawaziri
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA (UN) TAREHE 23 SEPTEMBA, 2021 JIJINI NEW YORK, NCHINI MAREKANI
  • NCHI YETU - MIAKA 61 YA UHURU
  • NCHI YETU - Miaka Miwili na Samia
  • Mjadala maalum kuhusu mpango wa uwekezaji katika Bandari zetu!

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Zanzibar
  • Tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Tovuti ya Ofisi ya Makamu wa Rais
  • Tovuti ya Rais-IKULU
  • Southern African Development Community
  • Tovuti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Video za Hivi Karibuni

More Videos
    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO