Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Posted on: April 26th, 2024
Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2024 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.