Idara ya Habari MAELEZO inajishughulisha na uuzaji wa picha za matukio mbai za viongozi wa Serikali. Picha ya Rais aliye madarakani inauzwa TSH 15,000 na picha ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere inauzwa TSH 5,000
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO