DIRA:
Kuwa idara imara iliyosambaa nchini kote, yenye wataalaam waliobobea na wenye uwezo wa kutoa huduma ya mawasiliano na habari zilizo sahihi na zenye kuaminika
LENGO:
Kukusanya na Kusambaza Habari za ukweli na uhakika kuhusu Serikali na Maendeleo ya wananchi na kuhakikisha kunakuwepo na mawasiliano ya pande zote mbili kati ya Serikali na wananchi.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO