Usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, Kwala mkoani Pwani
Posted on: July 31st, 2025
Rais Dkt. Samia azindua usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, Kwala mkoani Pwani, tarehe 31 Julai, 2025