Idara ya Habari-MAELEZO
Idara ya Habari-MAELEZO

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Idara ya Habari-MAELEZO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Idara ya Habari
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Watumishi wa Idara
    • Muundo wa Idara
    • Vitengo
  • Huduma zetu
    • Ukumbi wa Mikutano
    • Taratibu za leseni
    • Kitambulisho cha Mwanahabari
    • Tozo za Huduma
  • Machapisho
    • Sheria
    • Kanuni
    • Fomu
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha za Mnato
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoanza
    • Miradi Ijayo
  • Dawati la Matangazo

Idara ya Habari

Idara ya Habari-MAELEZO ipo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, Mipango na Miradi ya Maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya sera na sheria za habari.

Idara iliundwa mwaka 1945 wakati wa Vita ya Pili ya Dunia. Wajibu wa Idara kwa wakati huo kwa kushirikiana na magazeti mbalimbali yakiwemo Mambo Leo na Habari za Leo ilikuwa ni kuwajulisha wananchi kuhusu maendeleo ya vita. Aidha kwa wakati huo, Idara ilikuwa na jukumu la kupiga picha mbalimbali za matukio ya Serikali yanayotokea ndani na nje ya nchi.


Kati ya mwaka 1961-1962 majukumu ya Idara ya Habari yaliwekwa chini ya Wizara ya Elimu na Habari. Baadaye mwaka 1962-1964 yalibadilishwa na kuhamishiwa katika Ofisi ya Makamu wa Rais, kabla ya kurejeshwa katika Wizara ya Habari na Utalii mwaka 1964-1971.

Kuanzia mwaka 1979-1984, Idara iliwekwa chini ya Wizara ya Habari na Utangazaji na baadae Wizara ya Habari na Utamaduni. Mwaka 1991 Idara ilirejeshwa tena katika Ofisi ya Makamu wa Rais na baadaye kuhamishiwa katika Ofisi ya Waziri Mkuu kati ya mwaka 2005-2008.

Kuanzia 2008 hadi Septemba 13, 2021 Idara ilikuwa chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ikiongozwa na Mkurugenzi, Ndg. Gerson Msigwa. Kwa sasa Idara ya Habari ipo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Awamu ya Sita, Mhe. Samia Suluhu Hassan kuihamisha Idara ya Habari kwenda kwenye Wizara iliyokuwa ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Idara ina sehemu kuu tatu ambazo ni sehemu ya Habari na Huduma za Picha, sehemu ya Uratibu na Usajili na sehemu ya Uratibu wa Mawasiliano Serikalini.

Matangazo

  • Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari May 03, 2023
  • Baraza la Mawaziri April 14, 2023
  • Uzinduzi wa ‘The Royal Tour’ katika Ukumbi wa Guggenheim uliopo Manhattan, Jijini New York nchini Marekani April 19, 2022
  • Launch of 2019 SADC Media Awards February 13, 2019
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika (AGRF) 2023

    September 08, 2023
  • Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) 2023

    September 07, 2023
  • RAIS SAMIA AZINDUA JENGO LA PAPU

    September 02, 2023
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA KKKT

    August 21, 2023
  • Angalia zote

Wasiliana Nasi

Makole, Uhindini

S.L.P: S.L.P 677, Dodoma

Simu: +255-22-2771005

Nukushi:

Email: maelezo@mawasiliano.go.tz

Simu ya Kiganjani:

Kiunganishi cha Haraka

  • Fomu ya Kitambulisho cha Mwanahabari
  • Kanuni za Sheria za Huduma za Habari za Mwaka 2017
  • Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016
  • Fomu ya Kitambulisho cha Mwanahabari aliyopo nje ya Tanzania
  • Maelezo Podcasts (Apple Podcasts)
  • Maelezo Podcasts (Spotify)
  • Maelezo Podcasts (Amazon Music)
  • Tanzania 'THE ROYAL TOUR'
  • Tanzania 'The Royal Tour' AMAZON
  • HOTUBA YA WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI MHESHIMIWA NAPE MOSES NNAUYE (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23
  • Baraza la Mawaziri
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA (UN) TAREHE 23 SEPTEMBA, 2021 JIJINI NEW YORK, NCHINI MAREKANI
  • NCHI YETU - MIAKA 61 YA UHURU
  • NCHI YETU - Miaka Miwili na Samia
  • Mjadala maalum kuhusu mpango wa uwekezaji katika Bandari zetu!

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Zanzibar
  • Tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Tovuti ya Ofisi ya Makamu wa Rais
  • Tovuti ya Rais-IKULU
  • Southern African Development Community
  • Tovuti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Video za Hivi Karibuni

More Videos
    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO