MASHARTI YA UTOAJI LESENI KWA MAGAZETI/MAJARIDA*
*ZINGATIA: Malipo yote kwa ajili ya usajili yatafanyika katika ofisi za MAELEZO Dar es Salaam au Dodoma. Waombaji pia wanaweza kutumia akaunti na. 2011100094, NMB Bank House, yenye jina “Director of Information Services.”
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia: +255 22 2122771 au baruapepe maelezo@habari.go.tz
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO