Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua na kuhutubia Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 14 Novemba, 2025, mkoani Dodoma