Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akihutubia katika Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023 (AGRF 2023) akimuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ambapo alifunga Jukwaa hilo ambalo lilifikia tamati Septemba 8, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO