Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilihitubia Taifa kwa njia ya Televisheni na Redio kwenye kikao cha Utiaji saini Hati za makubaliano ya kuondoa Hoja za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi, ambapo Hoja 5 zimeondolewa ikiwemo ushirikishwaji wa SMZ kwenye masuala ya Kimataifa na Kikanda na Biashara, Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam tarere 17 Oktoba 2020
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO