Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dkt. Monica Nsanzabaganwa wakionesha mkataba wa Tanzania wa kukubali kuanzishwa kwa Taasisi ya Udhibiti wa Dawa ya Umoja wa Afrika (African Medicines Agency - AMA) mara baada ya kusaini Mkataba huo Agosti 10, 2021 katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika Addis Ababa, Ethiopia. Tanzania inakuwa Nchi ya 22 kusaini Mkataba huo.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO