Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati walipokuwa wakizungumza na Waandishi wa Habari wa Tanzania na wale kutoka nchi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO