Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya viongozi wastaafu kutoka ndani na nje ya nchi mara baada ya kufungua Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliyofanyika katika Hoteli ya Gran Meliá, Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO