Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Marais mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO