Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa leo Aprili 8, 2024 amezindua Nembo na Kauli Mbiu ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO