Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Machifu wa Tanzania, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Posted on: July 20th, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye viwanja vya Ikulu kwa ajili ya kuzungumza na Machifu kutoka mikoa mbalimbali nchini, Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe 20 Julai, 2024.