Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinumwi Adesina kushoto, wakiondoa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje katika mji wa Dodoma itakayotoka Ihumwa-Matumbulu-Nala-Veyula-Ihumwa Kilometa 112.3. Hafla hiyo imefanyika kwenye Sherehe zilizofanyika leo tarehe 09 Februari, 2022 katika eneo la Veyula, jijini Dodoma.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO