Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar, Mhe. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Juni, 2023.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO