Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia nguo zinazozalishwa na kiwanda cha kutengeneza nguo cha Tooku, kilichopo ndani ya Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) jijini Dar es Salaam, Juni 18, 2021. Kiwanda hicho kinazalisha nguo milioni sita kwa mwaka, kikiuza Zaidi kwenye soko la nchini Marekani (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO