Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Desemba 28, 2023 ametunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Heshima ya Usimamizi wa Utalii na Masoko (Doctor of Philosophy in Tourism Management and Marketing (Honoris Causa)) na Chuo Kikuu