Matukio mbalimbali katika picha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi, washiriki na wadau wengine waliohudhuria Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika linaloendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere ( JNICC), jijini Dar es Salaam leo Septemba 7, 2023.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO