Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimshukuru Mwenyekiti wa Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Uviko-19 (Covid -19) Prof. Said Aboud alipokuwa akikabidhi mapendekezo ya Mpango kazi wa kutafuta Rasilimali kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Taifa wa Kukabiliana na Janga la Ugonjwa wa Korona Juni 4, 2021 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO