Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa leo Machi 27, 2023 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. SuluhuSamia katika Kikao Kazi cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali, katika ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO