Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea kwa niaba yake bango lenye Anwani ya Makazi ya Ofisi ya Rais-IKULU mara baada ya kuzungumza katika Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma Februari 8, 2022.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO