Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wakuu wa nchi mbalimbali, pamoja na washiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC, Dar es Salaam.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO