Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akichangia moja ya mada katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam Julai 25-26, 2023.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO