Idara ya Habari-MAELEZO
Idara ya Habari-MAELEZO

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Idara ya Habari-MAELEZO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Idara ya Habari
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Watumishi wa Idara
    • Muundo wa Idara
    • Vitengo
  • Huduma zetu
    • Ukumbi wa Mikutano
    • Taratibu za leseni
    • Kitambulisho cha Mwanahabari
    • Tozo za Huduma
  • Machapisho
    • Sheria
    • Kanuni
    • Fomu
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha za Mnato
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoanza
    • Miradi Ijayo
  • Dawati la Matangazo

Rais . Dkt. Magufuli Azindua Rada Mbili za Usafiri wa Anga

Posted on: September 16th, 2019

Na Dianarose  Shirima, MAELEZO 

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amezindua rada za usafiri wa Anga katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICA) na Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro(KIA) ikiwa ni mwendelezo wa mradi uliokuwa umeanzishwa na Serikali ya Awamu ya Tano kwa ajili ya kuhamasisha safari za ndege na kuendeleza Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL).

 Akizungumza katika uzinduzi huo leo Jumatatu (Septemba 16, 2019) Jijini Dar es Salaam, Rais Magufuli amewapongeza Wakandarasi wa ujenzi wa mradi huo kutoka nchini Ufaransa kwa kuukamilisha kwa wakati mradi huo kama ilivyotakiwa kwa mujibu wa mikataba.

Rais Magufuli alisema kuzinduliwa kwa mradi huo kumefungua milango ya ushirikiano na Mataifa ya mbalimbali duniani hususani kuweza kupitisha ndege zao katika anga ya Tanzania kwa kuwa limethibitishia usalama kuwataka wasiogope.

Aidha aliongeza kuwa amesema kuwa licha ya Ndege za ATCL kuanzisha safari ya Mumbai, India serikali imelenga kuanzisha na nchi zingine pia duniani, ikiwemo China na Uingereza na kusisitiza kuwa zingine zitafuata.

Aliongeza kuwa Watanzania hawapaswi kukata tamaa pale zinapotokea changamoto katika harakati za kuleta maendeleo, huku akizungumzia suala la  kukamatwa kwa ndege  ya Tanzania huko nchini Afrika Kusini ni moja ya changamoto katika maendeleo, hivyo kuwataka Watanzania kuwa na umoja hata pale changamoto zinapotokea bila kuangalia tofauti zao za kisiasa.

Rais Magufuli pia alimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga, Hamza Johari, kutokana na uchapakazi mahiri aliouonesha katika nafasi hiyo, pia akasema kwa mwaka wa fedha uliopita 2018/19, Mamlaka hiyo ilikusanya mapato ya Tsh Billioni 71 kutoka    Tsh Billion 40.

Kwa upande wake Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Frederic  Clavier, alisema Serikali ya Ufaransa itaendelea kuunga mkono hatua za maendeleo ya uchumi wa Tanzania kupitia viwanda na kusema kuwa Ufaransa ipo tayari kushirikiana na Tanzania katika kuleta maendeleo na kufikia uchumi wa kati kwa maslahi mapana ya taifa la Tanzania ya mataifa hayo.

Matangazo

  • Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari May 03, 2023
  • Baraza la Mawaziri April 14, 2023
  • Uzinduzi wa ‘The Royal Tour’ katika Ukumbi wa Guggenheim uliopo Manhattan, Jijini New York nchini Marekani April 19, 2022
  • Launch of 2019 SADC Media Awards February 13, 2019
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisaini nakala 3 za Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu kwa mujibu wa kifungu cha 17 cha Sheria ya urekebu wa sheria, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 23 Aprili, 2025.

    April 23, 2025
  • The Global Goalkeepers Award

    February 04, 2025
  • Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika

    January 28, 2025
  • Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala Nishati

    January 28, 2025
  • Angalia zote

Wasiliana Nasi

Makole, Uhindini

S.L.P: S.L.P 677, Dodoma

Simu: +255-22-2771005

Nukushi:

Email: maelezo@mawasiliano.go.tz

Simu ya Kiganjani:

Kiunganishi cha Haraka

  • Fomu ya Kitambulisho cha Mwanahabari
  • Kanuni za Sheria za Huduma za Habari za Mwaka 2017
  • Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016
  • Fomu ya Kitambulisho cha Mwanahabari aliyopo nje ya Tanzania
  • Maelezo Podcasts (Apple Podcasts)
  • Maelezo Podcasts (Spotify)
  • Maelezo Podcasts (Amazon Music)
  • Tanzania 'THE ROYAL TOUR'
  • Tanzania 'The Royal Tour' AMAZON
  • HOTUBA YA WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI MHESHIMIWA NAPE MOSES NNAUYE (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23
  • Baraza la Mawaziri
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA (UN) TAREHE 23 SEPTEMBA, 2021 JIJINI NEW YORK, NCHINI MAREKANI
  • NCHI YETU - MIAKA 61 YA UHURU
  • NCHI YETU - Miaka Miwili na Samia
  • Mjadala maalum kuhusu mpango wa uwekezaji katika Bandari zetu!

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Zanzibar
  • Tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Tovuti ya Ofisi ya Makamu wa Rais
  • Tovuti ya Rais-IKULU
  • Southern African Development Community
  • Tovuti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Video za Hivi Karibuni

More Videos
    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO