Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame wakati akimsindikiza mara baada ya kuzungumza na Waandishi wa Habari Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023.
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO